Homoni Kuvurugika

Kuvurugika kwa homoni za kike ni suala pana linalojumuisha vyanzo vingi, kama mtindo wa maisha (lifestyle), umri kwenda, sababu za kimazingira kama msongo wa mawazo. Sababu zote hizi zinaathiri uzalishaji na ufanyaji kazi wa vichocheo ama homoni zako. Dalili zifuatazo zinaashiria kwamba mwanamke ana shida ya homoni kuvurugika

  1. Kupata hedhi ya muda mrefu zaidi ya siku 7 unatumia zaidi ya pedi 2
  2. Kupata na hedhi yenye kuambatana na maumivu makali sana
  3. Kuwa na hedhi yenye kuambatana na kichefu chefu,kuharisha
  4. Kuwa na hedhi ambayo haina mpangilio, unaweza kuingia mara tatu kwa mwezi mmoja, mara mbili au unaweza usipate kabisa hata miezi 6 hadi mwaka.
  5. Kuwa na ndevu sehemu za usoni,kifuani nyingi kupita kiasi
  6. Kuwa na kitambi cha tumbo la chini (abdominal obesity)
  7. Kutoshika mimba kwa muda mrefu
  8. Kukosa hamu ya tendo la ndoa ama lenye kuambatana na maumivu makali
  9. Mwili kuwa unauma sana hasa misuli bila sababu ya msingi, kuumwa sana na kichwa bila sababu ya msingi.

Tiba asili Kupitia Evecare

Dawa hizi za kihindi zimekuwa zikkitumika kwa muda mrefu zaidi ya miaka 30, katika kutibu changamoto mbalimbali za wanawake ikiwemo kuvurugika kwa homoni, hedhi kuvurugika,kukosa uteute na pia kuimarisha hamu ya tendo la ndoa.

Jinsi ya kutumia: Meza 1×2 kila siku kwa siku 15, kisha ongeza na kopo lingine meza hivo hivo 1×2 mpaka umalize mwezi

Huhitaji tena kuagiza india hizi tiba asili .Tayari tumefanya utafiti na kukuletea hapa hapa Dar, fika ofsini uanze dozi yako mapema au lipia tukuletee ulipo.

Gharama ya Dawa ni Tsh 45,000/= Dozi ya week mbili . Tuandikie whatsapp kwa namba 0746672914