Duka la Mtandaoni La Tiba Asili

Mafuta tiba ya black seed ni tiba ya Bawasili, kukosa choo kwa muda mrefu na choo kigumu

Sehemu moja utakayoweza kujipatia mafuta tiba(essential oils) zaidi ya aina 50 kwa magonjwa mbalimbali yanayokusumbua

Mafuta ya lavender kwa changamoto za msongo wa mawazo na sonona
Mafuta ya Lavender kwa ajili ya Msongo wa mawazo na maumivu ya misuli

Mafuta Tiba (essential oils) yanatokana na mvuke wa majani mbalimbali uliochunjwa na kupozwa kwa kutumia vifaa malumu. Mafuta haya huleta matoeo mazuri kutibu changamoto mbalimbali na yamekuwa yakitumika kwa miaka zaidi ya 5000. Anza sasa kutumia mafuta tiba haya ambayo ni asili hayana kemikali zenye athari kwenye mwili uone matokeo yake. Tiba hizi itaimarisha kinga ya mwili ka kukutibu maumivu ya viungo, uimarisha usagaji wa chakula, kutubu chunusi na kuboresha ngozi, kukupunguzia athari za masongo wa mawazo na pia kukutibu nguvu za kiume.

Wasiliana nasi Kuanza kutumia Mafuta Tiba haya.

Gharama za mafuta ni kuanzi Tsh 15,000/= mpaka 25,000/= kama wewe ni msambazaji au mtoa huduma wa tiba asili tutakupunguzia gharama ili ununue kwa jumla