Categories
Tumbo+mfumo wa chakula

Tiba mbadala ya kukosa choo na choo kigumu

Kukosa choo na choo kigumu kama cha mbuzi ni moja ya matatizo yanayowapata sana watu siku hizi. Hii ni kutokana na kuvurgika kwa mitindo ya maisha. Tatizo hili linajitokeza pale kinyesi kinapokuwa kigumu kwenye utumbo na hivyo kushindwa kutoka kwa urahisi. Kitaalamu tatizo hili huitwa constipation na husababishwa na kutokwa na haja kubwa mara chache […]

Categories
Uncategorized

Mbinu 5 za kusimamisha matiti yaliyolala ukiwa nyumbani

Uzuri wa kike usio na mwisho ni mchanganyiko wa mambo kadhaa, na miongoni mwao ni matiti yaliyosimama vizuri, wanasema chuchu saa sita. Matiti yaliyolala yanaweza kuharibu sana uzuri wa mwanamke na hasa kupunguza mvuto wake kwa wanaume, na ndiomaana nataka leo nikufundishe njia asili za kusimamisha matiti yako. Japo mwenzi wako anaweza asilalamike, lakini anavutiwa […]

Categories
Afya ya Akili

Msongo wa Mawazo

Moja ya sababu ambazo zinachangia kwa kiasi kikubwa kuzorota kwa afya na kusababisha vifo vingi ni msongo wa mawazo . Athari za Msongo wa Mawazo Njia mbaya za Kuondoa Msongo wa Mawazo Njia Salama za Kukabiliana na Msongo wa Mawazo Tiba kupitia Mafuta Asili ya Lavender Kwa miaka ya hivi karibuni mafuta ya lavender yamekuwa […]