Categories
Tumbo+mfumo wa chakula

Tiba mbadala ya kukosa choo na choo kigumu

Kukosa choo na choo kigumu kama cha mbuzi ni moja ya matatizo yanayowapata sana watu siku hizi. Hii ni kutokana na kuvurgika kwa mitindo ya maisha. Tatizo hili linajitokeza pale kinyesi kinapokuwa kigumu kwenye utumbo na hivyo kushindwa kutoka kwa urahisi. Kitaalamu tatizo hili huitwa constipation na husababishwa na kutokwa na haja kubwa mara chache […]