Mafuta Tiba ya Uwatu ( fenugreek essential oil)
Faida za mafuta ya Uwatu
- Kupunguza mafuta mabaya mwilini (bad cholesterol)
- Kupunguza hatari ya kuugua magonjwa ya moyo
- Kurekebisha sukari kwa mgonjwa wa kisukari
- Kuzuia saratani ya utumbo mpana
- Kutibu chunusi, na ngozi yenye aleji
- Kuzubua pua zilizoziba