Kuvurugika kwa homoni za kike ni suala pana linalojumuisha vyanzo vingi, kama mtindo wa maisha (lifestyle), umri kwenda, sababu za kimazingira kama msongo wa mawazo. Sababu zote hizi zinaathiri uzalishaji na ufanyaji kazi wa vichocheo ama homoni zako. Dalili zifuatazo zinaashiria kwamba mwanamke ana shida ya homoni kuvurugika
- Kupata hedhi ya muda mrefu zaidi ya siku 7 unatumia zaidi ya pedi 2
- Kupata na hedhi yenye kuambatana na maumivu makali sana
- Kuwa na hedhi yenye kuambatana na kichefu chefu,kuharisha
- Kuwa na hedhi ambayo haina mpangilio, unaweza kuingia mara tatu kwa mwezi mmoja, mara mbili au unaweza usipate kabisa hata miezi 6 hadi mwaka.
- Kuwa na ndevu sehemu za usoni,kifuani nyingi kupita kiasi
- Kuwa na kitambi cha tumbo la chini (abdominal obesity)
- Kutoshika mimba kwa muda mrefu
- Kukosa hamu ya tendo la ndoa ama lenye kuambatana na maumivu makali
- Mwili kuwa unauma sana hasa misuli bila sababu ya msingi, kuumwa sana na kichwa bila sababu ya msingi.
Tiba asili Kupitia Mafuta ya Rose na Olibanum
Mafuta haya yamekuwa yakitumika kwa muda mrefu zaidi ya miaka 2000, katika kutibu changamoto mbalimbali za wanawake ikiwemo kuvurugika kwa homoni, hedhi kuvurugika, kukosa usingizi na pia kuimarisha hamu ya tendo la ndoa.
Jinsi ya kutumia: chovya kiasi kidogo cha mafuta kisha fanya masaji eneo la tumbo la uzazi kwa dakika 15 kila siku. Fanya masaji ukiwa hujashiba.
Huhitaji tena kuagiza mafuta haya nje ya nchi. Tayari tumefanya utafiti na kukuletea mafuta asili yasiyochakachuliwa , fika ofsini uanze dozi yako mapema.