Categories
Uncategorized

Msongo wa Mawazo

Moja ya sababu ambazo zinachangia kwa kiasi kikubwa kuzorota kwa afya na kusababisha vifo vingi ni msongo wa mawazo . Athari za Msongo wa Mawazo Msongo wa mawazo unasababisha uzito mkubwa na kitambi: Kuongezeka ovyo kwa uzito,kitambi na nyama uzembe ni tatizo linalohusiana na ,msongo wa mawazo. Msongo wa mawazo unabadili jinsi mafuta yanavohifadhiwa ndani […]